November 21, 2014

Uliwahi kuufikiria muunganiko wa Jaguar wa Kenya na Iyanya? single yao mpya iko hapa

Staa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya y... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-21 at 1.55.07 AMStaa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One centimetre’ ambayo
kamshirikisha mkali Iyanya kutoka Nigeria.
Iyanya 2Jaguar atapenda sana kusoma maoni ya mashabiki wake baada ya kuisikiliza hii single mtu wangu so ufanye kumuachia comment hapo chini…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: