November 21, 2014

HUYU NDO MSANII ALIYEAMUA KUJICHORA TATOO ZENYE MAJINA YA NGWAIR NA GEEZ MABOVU KIFUANI KWAKE.

Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu. thumbnail 1 summary
IMG-20141120-WA0005
Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu.
Dark Master alikuwa mtu wa karibu na rappers hao na amedai kuwa misiba hiyo miwili ni pigo kubwa kwake. Na hivi karibuni rapper huyo alidai kuwa ameamua kuokoka akimaanisha kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara.
IMG-20141120-WA0008
IMG-20141120-WA0007
IMG-20141120-WA0006
IMG-20141120-WA0004
IMG-20141120-WA0002

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: