November 21, 2014

Diva @divathebawse Na Kampuni Yake Inakuletea Bonge La Party Ya Kufunga Mwaka 2014.

Diva a.k.a divathebawse anakuletea tena Bonge la Event ya kufunga mwaka huu hii ni baada ya Mashabiki wake kuwa na kiu kubwa ya Event ba... thumbnail 1 summary
Diva a.k.a divathebawse anakuletea tena Bonge la Event ya kufunga mwaka huu hii ni baada ya Mashabiki wake kuwa na kiu kubwa ya Event baada ya ile ya Diva With Friends "Turn Down For What" kufanya poa. 

Sasa hivi akiwa na kampuni yake ya Events (Divas Wild Events Co.) anakuja na Kitu Special Kwa Ajili ya Mitandao Yote ya Kijamii Hapa BongoLand TZ na hii itafanyika pale Maisha Club Tarehe 21 Mwezi wa 12 mwaka huu.

Event hii itakutanisha watumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii wanaoishi Bongo so hii itakuwa poa kwako kuja kukutana na friends/followers na group members wako LIVE kwenye Bata La Nguvu.

Kama Mdau na shabiki Hautakiwi Kuikosa Hii Maana Tunakutana Mastaa Wote Kwenye Bata 1 Kubwa na Kuenjoy Life huku burudani ikiendelea kutoka kwa wasanii wako wote wakali. 
NB, WEKA KWENYE KALENDA YAKO NA UMWAMBIE NA YULE NA YULE TUJE KWA PAMOJA KU PARTY.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: