February 24, 2016

Kwa Mabachela na wenye familia mnaotaka nyumba nzuri za kuishi… kuna hizi idea





1. Chumba cha kulala ambacho kina bafu na choo pembeni yake na kiukweli vinavutia vyote, chumba chenyewe kina nafasi na hakina vitu vingi.

2

Najua sehemu nyingine ya Watu wangu wa nguvu ni Mabachela…. watu wanaishi mmojammoja wakati wakiendeleza harakati za kutafuta maisha town… na inawezekana umepanga au una ujenzi wa nyumba mikononi mwako ndio maana nimekusogezea hizi picha chache za kuangalia design mbalimbali.

3. Kama nyumba yako ni ndogo usihofie wala kujishtukia, kwa udogo huohuo unaweza kupafanya home kwako pawe na mvuto kama hivi… huyu wala hajasumbuka kuweka vitu vingi, unaweza kuweka kitanda na kochi moja mchezo umeisha

4

5

Huyu mwingine hapa chini nimeukubali mpangilio wake simple wenye vitu vichache vya muhimu lakini vyenye mvuto..

6. Ukuta hauna picha nyingi wala rangi kali za kuumiza macho, sakafu pia haina urembo mwingi….akatafuta na kochi lake moja kubwa na meza nzuri nyeupe akamaliza

7

8

9

10

11

Kwenye hii nyumba ya chini ni jinsi ambavyo sisi tumekariri kuhusu kujenga baraza kwenye nyumba zetu tofauti kabisa na njia rahisi wanayoitumia wenzetu kwenye ujenzi wa nyumba za kisasa na ikapendeza kuliko.

12

13

Tukija kwenye ishu ya ku-design nyumba….. kuna watu wanapesa zao lakini hawajui watafanya nini nyumba ipendeze, huyu jamaa hapa chini katuonyesha jinsi unavyoweza kuitumia Mbao.

14

15

16. Ukiangalia sebule zote za hawa jamaa hazina madikodiko mengi, vitu vyote hivi vinapatikana Tanzania na wala sio kwa bei ya kuogopesha, ni kujipanga tu

17

18

19

20

21

22

Sio mbaya baada ya kutazama hizi picha ukaniachia comment yako kuniambia picha namba ngapi imekuvutia zaidi mtu wangu, nitakua napita hapa mara kwa mara kuona watu wangu wanasemaje.




SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: