June 13, 2014

CHECK LIST YA MAKOCHA WANAOLIPWA MKWANZA MREFU KWENYE MPIRA WA MIGUU DUNIANI

Nikikuuliza kama kocha gani uliyewahi kuhisi analipwa pesa nyingi atakua nani pengine ungetaja wengine unaowafahamu lakini sasa unaambiwa... thumbnail 1 summary
kapelooNikikuuliza kama kocha gani uliyewahi kuhisi analipwa pesa nyingi atakua nani pengine ungetaja wengine unaowafahamu lakini sasa unaambiwa kocha wa zamani wa timu yataifa ya
Uingereza Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri.
Hii ni rekodi aliyoiweka na kuwa miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
Cheki mtiririko wa malipo ya makocha hawa ulivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: