June 13, 2014

DUH MWANA FA ANA HALI MBAYA MASHABIKI WAMTUKANA NA KUMTISHIA KUMCHOMA KISU CHA TUMBO KWENYE TAMASHA LA FIEST

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEYSwgAn157EESv5daRooOwalxxWWHq61ytcjTGNjWIuVMCwOvZcDX9JtK7nlnYGsMMDS-kJHDdRDAE-7tSILG9yLpbPNRj9PpOdQOBN5k1aalgyHz3bAio0r-ZDaPceoU-jqhOfP0ocA/s1600/mwana_fa.jpg

hii alitumiwa
MwanaFA 

Duniani kuna vituko jamani khaaaa, cha kumuandikia mtoto wa mwenzio hivi ni nini? hata kama humpendi jamani maisha yenyewe mafupi haya hujui nani anatangulia 
 

ila mie watu wanaomuongelea Ruge mitandaoni wananishangaza, mmmh kuna watu ni viumbe wazito hata uwafanye nini hawabebeki daah kila binaadam ana mapungufu yake lakini kwa Ruge kumuandama wanakosea sana juzi tu hapa kasafirisha watu kwenda kumzika Tyson katoa hela zake mfukoni  kulipia  ndege hilo binaadam hawalioni, ni mara ngapi anawasaidia wasanii shida binafsi? kweli tenda wema uende zako usisubiri shukrani, wema anaoufanya ni mwingi kushinda huo ubaya wanaomtangazia, sema binaadam tumekariri mabaya kuliko wema, mumuache kaka wa watu apumue kwa raha zake kama wewe hujui kuimba hubebeki yeye afanye nini ajipendekeze tu kukupeleka juu hata katika bible imesandika anza kwanza kujisaidia nami nitakusaidia khaa, mtu huna adabu, huimbi vizuri una nyodo unalewa kwenye show usipopangwa Ruge.
 

ulieandika ujumbe huu muogope Mungu kwanza, ukishamuua utafanikiwa nini sasa? mxiuuuuuu watu kama nyie ndio hamuendelei daima....
 

nilipomuuliza mwana FA akaniambia hamfahamu mtu alieandika hio text,  huyo mtu daah eti umesoma nini bora yeye aliyetoa ujinga kuliko wewe mbumbu maana ungekuwa umeenda shule usingeandika utumbo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: