June 13, 2014

UNAAMBIWA KUOA MWANAMKE ALIYEKULIA MAISHA DUNI, NI KUJICHIMBIA KABURI NA KUKARIBISHA UMASKINI...HAWANA SHUKRANI KABISA,SOMA HAPA

Heshima kwenu wadau.. Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca.. Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe... thumbnail 1 summary

Heshima kwenu wadau..

Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca..

Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke
anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao hawana shukrani maishani.. anakwambia angalau watoto wa kishua japokuwa wavivu kazi za ndani ndogo ndogo but wanajua kupenda na hata cheating ni ngumu sana.

But mwanamke anaetoka familia yenye dhiki wengi wao vigeu geu mwepesi sana kubadilika badilika.. na ametoa mifano hai mingi tu ya ndoa za tunaowafahamu..

Wadau hii mnaonaje? je kuna ukweli wowote hapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: