BONYEZA HAPA ILI KUPATA UMBEA ZAIDI WA MASTAA
06:33
BONYEZA HAPA ILI KUPATA UMBEA ZAIDI WA MASTAA
Huyu dada bana yaani haishiwi vituko kila kukicha, hivi nikimfananisha na msanii Lulu nitakuwa nakosea? Naona kama wanaendana swaga hivi kwani naye haishiwi vituko kila kukicha. Eti huu ndo mtoko wake wa club, hebu ngalia picha zake zaidi hapa chini.