June 12, 2016

Yusuph Manji achaguliwa kwa mara nyingine kuingoza Yanga

Yusuph Manji amechaguliwa kwa awamu nyingine kuwa mwenyekiti wa Timu ya Young Africans ‘Yanga’ pamoja na makamu wake Clement Sanga. thumbnail 1 summary
Yusuph Manji amechaguliwa kwa awamu nyingine kuwa mwenyekiti wa Timu ya Young Africans ‘Yanga’ pamoja na makamu wake Clement Sanga.


Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu wa 2016 uliofanyika jana June 11 2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam yametangazwa leo June 12 2016, ambapo Yusuph Manji na Clement Sanga ameibuka kidedea ambapo Manji kashinda kwa jumla ya kuraza ndio 1468, hapana 0 na kura zilizoharibika zilikuwa 2.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments