May 13, 2016

Kumbe Ni Kweli Madee Alikwichikwichi na Shilole na Nuh Mziwanda Akawafumania !

Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe Leo akihojiwa na D... thumbnail 1 summary
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe
Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa hana nguo,Diva anakiri kusikia hizo habari ila alitaka Nuh athibitishe Nuh anasema inauma sana ila ana muheshimu sana Madee ana Muheshimu pia Shilole japo Inauma sasa wali kwichi kwichi na kuwafumania

Oyo nitakupigia nitakupia baadae noma noma noma sanaaaaa

Hapa Miguu pande hapa Say my name Shishi hapa Jike shupa oyooooo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments