May 13, 2016

HUU NDIO MGAHAWA AMBAO AKIINGIA KANYE WEST WAHUDUMU NA WATEJA WENGINE HAWARUHUSIWI KUMUANGALIA INABIDI UTIZAME PEMBENI.

Hii sasa kali kuwahi kusikika kuhusiana na familia ya Yeezus Kanye West, i mean ni ya kushangaza. Muhudumu maarufu wa Chakula mjini New... thumbnail 1 summary
Hii sasa kali kuwahi kusikika kuhusiana na familia ya Yeezus Kanye West, i mean ni ya kushangaza.
Muhudumu maarufu wa Chakula mjini New York aitwae Stacy Adler ’50’, ameelezea tukio alilowahi kufanyiwa na Kanye West ambalo hatakuja kulisahau.

Kwenye kitabu kipya cha Ina Yalof ‘Food and the City’ muhudu huyu anayefanya kazi na mastaa wengi kama Beyonce, Jay Z, Jennifer Lopez, George Clooney, Madonna amesema aliambiwa asimtazame Kanye West na kwamba wakati anapita wahudumu wote waangalie pembeni.

Stacy anasema”Watu wote maarufu wako powa sana ila wapambe wao ndio wanasumbua, niliambiwa na watu wa Kanye kuwa akipita hakuna mtu wa kumtazama, lazima uweke shingo pembeni na usimuone wakati anapita kitu ambacho kilinikera sana“.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments