May 13, 2016

Alivyoagwa Rais Magufuli nchini Uganda

May 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliwasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapis... thumbnail 1 summary
May 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliwasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na siku niliyofuata Rais Magufuli alifanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni .

Katika mazungumzo hayo Rais Magufuli alimshauri Rais Museveni kufupisha muda wa ujenzi wa mradi wa Bomba la mafuta kwa kutumia wakandarasi wengi watakaogawanywa katika vipande tofauti badala ya kutumia mkandarasi mmoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments