May 13, 2016

Ni Historia... KilivyoHappen Dodoma Kwenye Show ya DIAMOND na Mafikizolo wakisindikizwa na Waziri Nape

May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya ... thumbnail 1 summary
May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu kwa watu wao wa Dodoma, show iliyopewa jina la ‘Colors of Afrika’ 
Tayari nimekusogezea picha 15 kutokea eneo la tukio… 
Watu wa nguvu Dodoma 
Waziri Nape Nnauye 
Diamond on stage 
Diamond Platnumz na Mo j 
Le Mutuz 
Kifesi on stage 
Diamond akipokea zawadi ya picha kutoka kwa shabiki wake 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments