June 14, 2014

Ms Fawwie: Mwanadada CLASSIC Afrika Mashariki Nzima!!!!...

Anaitwa Ms Fawwie kutoka Kenya, sijui ni 0.5 wa kutoka nchi gani. But ninachojua mimi ni mtu anaejishughurisha na FASHION (makeup&... thumbnail 1 summary


Anaitwa Ms Fawwie kutoka Kenya, sijui ni 0.5 wa kutoka nchi gani. But ninachojua mimi ni mtu anaejishughurisha na FASHION (makeup&fashion guru Inventor of the phrase ).....Anajuana na mastaa wengi
sana hapa AFRIKA MASHARIKI (Kutokana na shughuri zake).......Mbali na kuwa mzuri huyu mwanadada ana-CLASS ya juu sana...yaaani sijui nisemaje......Nadhani ukicheki picha zake hizi utanielewa




SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: