June 14, 2014

MCHUMBA WA NEY WA MITEGO AMWAGA MACHOZI, TAZAMA HAPA

Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ... thumbnail 1 summary
Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye Thamani ya Mil
170 ambayo ipo Maeneo ya Kimara , Katika tukio hilo la kuonesha nyumba pia alimsuprise mpenzi wake Siwema Ambae alikuwa hajui Kama anajenga ambapo kitendo hicho
kilimfanya Siwema Atokwe na Machozi ya Furaha ....
Angalia Picha hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini:



Picha:Bongo5
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: