June 14, 2014

SIKU CHACHE BAADA YA KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA,NEY WA MITEGO AFUMWA AKIWA NA MCHEPUKO WAKIWA CHUMBANI..!!

Siku chache zimepita tangu mwimbaji wa Bongo flava Ney wa Mitego asherehekee siku yake ya kuzaliwa ambapo pia mchumba wake ana... thumbnail 1 summary

Siku chache zimepita tangu mwimbaji wa Bongo flava Ney wa Mitego asherehekee siku yake ya kuzaliwa ambapo pia mchumba wake anaejulikana kama Siwema alikuepo na alionekana kama mjamzito.Gossip Court imefanikiwa
kunasa picha za supastaa huyo akiwa na kimchepuko cha Bongo Movie kinachojulikana kwa jina la Fatma Ayoub Bozi.



Picha hiyo inaonesha wawili hao wakiwa wamesimama mlango wa chumbani huku mavazi yao na sura zikiashiria kuna jambo lililokua likiendelea kabla ya wawili hao kugongewa mlango.haikufahamika mara moja ilikua ni chumba cha hoteli,guest ama ni ghetto.

BAKI NJIA KUU NEY MCHEPUKO SIO DILI

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: