June 14, 2014

Kocha wa Everton "Roberto Martinez",aongezwa mkataba mpya wa miaka 5.

Kocha wa klabu Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza Roberto Martinez,ameongezwa mkataba wa miaka mitano(5) thumbnail 1 summary
Kocha wa klabu Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza Roberto Martinez,ameongezwa mkataba wa miaka mitano(5)
na kuzuia baadhi ya Timu zilizokuwa zikimhitaji kocha huyo. Hili ni dili jipya kwa kocha Martinez la £3million kwa mwaka. Kocha huyo sasa atabaki Goodison Park hadi mwaka 2019 mkataba wake utakapomalizika. Mwenyekiti wa Everton Bill Kenwright amemsifia kocha Martinez kuwa ni kocha bora barani Ulaya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: