April 21, 2016

Natamani Kufanya Kazi na Vanessa Mdee – Pam D

Msanii wa Bongo fleva Mwanadada Pam D a.k.a Pam Daffa amefunguka kwa kusema kuwa anatamani kufanya kazi na V Money kwa sasa. thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo fleva Mwanadada Pam D a.k.a Pam Daffa amefunguka kwa kusema kuwa anatamani kufanya kazi na V Money kwa sasa.
Pam D akiongea na Enewz alisema wiki ijayo ataachia ngoma yake aliyoshirikiana na Nay wa Mitego, lakini zaidi ni kuwa anatamani sana kufanya collabo na Vanessa Mdee.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments