April 21, 2016

DIAMOND Anunua Mjengo Mwingine Mpya!

Diamond Platnumz akiwa na mwanaye ‘Tifaah’. STAA wa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz ‘Baba Tifaah’ ameendelea kujiimarisha kiuchumi na ... thumbnail 1 summary

Diamond Platnumz akiwa na mwanaye ‘Tifaah’.
STAA wa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz ‘Baba Tifaah’ ameendelea kujiimarisha kiuchumi na kuonyesha kuwa yeye ni miongoni mwa wasanii wanaopaswa kuigwa hapa nchini baada ya kununua nyumba mpya na ya kisasa iliyopo maeneo ya Salalasala Mwanzo, Bagamoyo Road jijini Dar es Salaam.
Nyumba hiyo imemgharimu Diamond zaidi Sh. milioni 100 za Kitanzania kuinunua. 

Nyumba Yenyewe:
Vyumba hiyo ina vyumba vitatu vikubwa vya kulala ambavyo viwili kati ya hivyo ni master kubwa zaidi, sebule kubwa, jiko lenye kabati, choo, bafu vya ndani vya wageni, gypsum, tiles, slides, windows, umeme wa luku, heater za maji moto, maji yapo ya bomba na ya reserve, simtank la Lita 1000, eneo la maegesho ya magari na uzio.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments