April 21, 2016

MALKIA WA UINGEREKA,ELIZABETH AKIMBIZA MIAKA 90.

Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzaliwa.Malkia atasheherekea siku hii kwa kukutana na wananchi wake katika matembezi atayaf... thumbnail 1 summary

Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzaliwa.Malkia atasheherekea siku hii kwa kukutana na wananchi wake katika matembezi atayafanya huko Windsor.

Malkia Elizabeth ametawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uingereza, muda unaokadiriwa kufikia zaidi ya sitini na nne.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments