May 18, 2016

PICHA & VIDEO FUPI: Moto uliounguza eneo la Shule ya Wasichana Ilala Girls Islamic-Ilala Bungoni

Moto mkubwa ambao chanzo chake hakikuweza kupatikana mara moja unadaiwa kuunguza eneo la Shule ya Wasichana Ilala Girls Islamic iliyopo... thumbnail 1 summary

Moto mkubwa ambao chanzo chake hakikuweza kupatikana mara moja unadaiwa kuunguza eneo la Shule ya Wasichana Ilala Girls Islamic iliyopo kwenye Msikiti wa Taqwa Ilala Bungoni Jijini Dar es Salaam. Kwa taarifa za undani zaidi juu ya chanzo na madhara yaliyosababishwa na moto huo endelea kutembelea kurasa hizi.

Na Hapa ninazo Picha za Tukio hilo pamoja na Video fupi.






SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments