May 18, 2016

Hii ni Good News kwa wale watumiaji wa Mtandao wa Twitter.

Twitter inatarajia kufanya mabadiliko makubwa katika namna inavyohesababu herufi za tweets na hivyo kuwapa watumiaji uhuru wa kuandika ... thumbnail 1 summary

Twitter inatarajia kufanya mabadiliko makubwa katika namna inavyohesababu herufi za tweets na hivyo kuwapa watumiaji uhuru wa kuandika ujumbe mrefu zaidi.

Kampuni hiyo hivi karibuni itaacha kuhesabu picha na link kama sehemu ya herufu 140 za kikomo cha ujumbe unaoandikwa. Mabadiliko hayo yanaweza kuanza kuonekana katika wiki mbili zijazo.

Kwa sasa Links zinachukua herufu 23 hata baada ya Twitter kuzifupisha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments