May 18, 2016

Aliyoyaandika Vannesa Mdee baada ya post mbili za Shilole kwenye mtandao wa Instagram

Headline zinachukuliwa na Warembo kudoka Kiwanda cha Bongoflevani na hii ni baada ya May 17 2016 Shilole kupost picha kwenye Account yake... thumbnail 1 summary
Headline zinachukuliwa na Warembo kudoka Kiwanda cha Bongoflevani na hii ni baada ya May 17 2016 Shilole kupost picha kwenye Account yake Instagram ambayo wengi wametafsiri ni dongo kwa msanii mwenzake Vanessa Mdee, May 18 2016 Vanessa Mdee amezichukua headline kwa Kupost picha ya Shilole na kuandika caption inayosomeka hivi.

‘Nikupe KICKII ujulikane au sio? Kila siku twanyamazaga ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio uliowazoea. P.s: You ain’t worth this post inashushwa sasa hivi #MessageSent‘>>>Vanessa Mde

Post hiyo ya juu ni baada ya hizi post mbili za Shilole kwenye account yake ya instagram


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments