May 18, 2016

Jayz Na Beyonce Wamekosa Hili Jumba La Kifahari Kwakuzidiwa Dau Na Huyu Mbunifu Wa Mavazi

Ni jumba la kifahari lililokuwa likiangaliwa kwa ukaribu na familia ya Shawn Corey Carter ‘Jay Z na Beyonce’ jumba lipo mji wa LA limenu... thumbnail 1 summary
Ni jumba la kifahari lililokuwa likiangaliwa kwa ukaribu na familia ya Shawn Corey Carter ‘Jay Z na Beyonce’ jumba lipo mji wa LA limenunuliwa na mbunifu wa mavazi na director Tom Ford. 





Tom ameweza kutoa mkwanja wakufikia dola milioni $50 na kununua jumba hilo lililopo huko mitaa ya kistaa ya Beverly Hills. Jay Z na Beyonce walitaka kulipia dola milioni $49 tu. 

Tom Ford, Beyoncé Na Jay-Z kwenye Tom Ford fashion show huko Los Angeles 


Jumba liko kwenye Ekaru 3.2, lina vyumba tisa vya kulala ,10 bathrooms. Lilijengwa mwaka 1934 , waliowahi kuishi humo ni pamoja na mastaa wakubwa kama William Powell na mtayarishaji wa filamu za ‘James Bond’ producer Albert Broccoli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments