February 26, 2016

Rekodi Hii ya Mwanamuziki Michael Jackson Yavunjwa na Rihanna.

Single mpya ya muimbaji huyo mwenye miaka 28, Work aliyomshirikisha Drake, imekuwa ya 14 kukamata nafasi ya thumbnail 1 summary
Single mpya ya muimbaji huyo mwenye miaka 28, Work aliyomshirikisha Drake, imekuwa ya 14 kukamata nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100 na kumshinda Michael aliyekuwa na nyimbo 13.

Rihanna bado yupo nyuma ya Mariah Carey, mwenye nyimbo 18 huku The Beatles wakishika rekodi ya dunia kwa kuwa na nyimbo 21.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: