February 26, 2016

IMEVUJA:Kumbe Diamond amekopi nyimbo yake mpya ya 'Make Me Sing' kutoka kwa Lil Wayne!!!! Mwenyewe afunguka

Msanii Diamond ameamua kuwatolea uvivu watu wanaosema kuwa video yake mpya ya wimbo wa make me sing alioshirikiana na rapper A.K.A ku... thumbnail 1 summary

Msanii Diamond ameamua kuwatolea uvivu watu wanaosema kuwa video yake mpya ya wimbo wa make me sing
alioshirikiana na rapper A.K.A kutoka Afrika kusini ameiga video ya Got money ya Lil wayne.

Aidha Diamond amethibitisha ule usemi wa hakuna jipya chini ya jua kwa kusema kuwa hakuna mtu yeyote atayefanya kitu kwenye muziki ambacho hakijafanyika.


“Watu wanashindwa kuelewa,kila kitu ambacho kinafanyika sasa hivi kwenye muziki kuanzia video,mashairi vyote vilishafanyika,vyote vilishaimbwa ,ni kama vinafanyika kwa marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye,kwa sababu ukisema nakupenda watu washaimba,sikupendi washaimba vyote yaani” alifunguka Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: