May 16, 2016

KIM KARDASHIAN:NIMEPUNGUZA UZITO FASTA KULIKO NILIPOJIFUNGUA MTOTO WA KWANZA.

Siyo watu wote wanapenda kuwa na mamba membamba,lakini pia siyo wote wanapenda kuwa vibonge. Kwa mtayarishaji wa vipindi halisi vya t... thumbnail 1 summary
Siyo watu wote wanapenda kuwa na mamba membamba,lakini pia siyo wote wanapenda kuwa vibonge.

Kwa mtayarishaji wa vipindi halisi vya televisheni na mwanamitindo,Kim Kardashian mambo ni tofauti.

Mwanamitindo huyo,Mke wa rapa Kanye West anafuiahia kupunguza uzito kwa kasi baada ya kujifungua mtoto wake wa pili Desemba mwaka jana.

Karibia miezi sita sasa tangu ajifungue,Kardashian ameanza kujiachia mitaani na kama kawaida yake,kuvaa pamba kali na zanye utatata indigo furaha yake.

Msanii huyo amedai: kuwa anafurahishwa kiasi kikubwa kupungua uzito kuliko ilivyokuwa wakati alipojifungua mtoto wake wa kwanza.

“Nadhani kipindi hiki nimepunguza uzito kwa haraka sana kuliko wakati nilipojifungua kwa mara ya kwanza,” alisema mrembo huyo.

Aliongeza: “hii ni kutokana na kujifunza kula ryakula havinipi uzito haraka,”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments