May 16, 2016

Albamu ya Kendrick Lamar na J Cole bado ipo haijafutwa

Albamu ya pamoja kati ya Kendrick Lamar na J Cole ‘Joint’ ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu imesemekana kuwa itachelewa. Hapo m... thumbnail 1 summary
Albamu ya pamoja kati ya Kendrick Lamar na J Cole ‘Joint’ ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu imesemekana kuwa itachelewa.
Hapo mwanzo taarifa zilisambaa kuwa albamu hiyo haitatoka tena lakini taarifa za ndani zinadai kuwa mipango hiyo ya kuiachia hiyo albamu bado ipo lakini itachelewa kutoka.

Golden Withers Music na Musidex Music zinadai kuwa Lamar amechukuwa mistari ya kwenye nyimbo zilizotoka mwaka 1975 ‘Don’t You Want to Say’ na ‘I Do This’ na kuweka kwenye baadhi ya nyimbo zilizopo kwenye albamu hiyo.

Lakini inasemekana kuwa albamu hiyo ipo tayari wanakamilisha mipango ya kuiachia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments