February 23, 2016

T.I AMESAINI USIMAMIZI NA ROC NATION YA JAY Z.

Turudi mpaka mwezi wa 9 mwaka jana, rapa T.I alitumia mtandao wa Instagram kuwa kuna kitu kizuri wanasuka na rapa mwenzie Jay Z kuhusu al... thumbnail 1 summary
Turudi mpaka mwezi wa 9 mwaka jana, rapa T.I alitumia mtandao wa Instagram kuwa kuna kitu kizuri wanasuka na rapa mwenzie Jay Z kuhusu album yake ijayo Da Dime Trap.

Sasa katika tamasha la Tidal lililofanyika jumatatu usiku mjini ATL, T.I alitangaza kusaini na Roc Nation kwa ajili ya usambazaji wa kazi zake.

Pia mkali huyu wa kaskazini, akaingia kwenye orodha ya watu wenye share katika mtandao wa Tidal.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: