February 23, 2016

Davido na WizKid Kufanya Collabo.

Jarida la FADER lilifanya mahojiano na msanii Davido, anasema Star Boy Wizkid amemuomba collabo. Hii ni miongoni mwa collabo kubwa inay... thumbnail 1 summary
Jarida la FADER lilifanya mahojiano na msanii Davido, anasema Star Boy Wizkid amemuomba collabo.
Hii ni miongoni mwa collabo kubwa inayosubiriwa Afrika na Davido amethibitisha kuwa WizKid ameitaka.

Mwandishi aliyemuhoji Davido ‘Rawiya Kameir‘, ameandika kuwa “Wizkid ameongea na meneja wa Davido ‘Kamal Ajiboye‘ kuhusu collabo hio na sio yeye”

Stori inasema “It’s Wizkid himself, asking whether Davido might be down for some sort of collaboration, an official end to the stalemate”.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: