July 16, 2014

KAMA ULIPITWA CHECK JINSI WASHINDI WA KOMBE LA DUNIA 2014 GERMANY WALIVYOPOKELEWA KWAO

Makumi kwa maelfu ya mashambiki wa mpira wa miguu nchini Ujerumani wametoa mapokezi ya kishujaa kwa timu yao iliyoshinda Kombe la dunia ... thumbnail 1 summary
germ1
Makumi kwa maelfu ya mashambiki wa mpira wa miguu nchini Ujerumani wametoa mapokezi ya kishujaa kwa timu yao iliyoshinda Kombe la dunia mjini Berlin.

Sherehe kubwa zilifanyika katika eneo la Brandenburg Gate, ambako wachezaji walilionyesha kombe la dunia katika jukwaa kubwa wakati wakicheza muziki.
Watu wengi walikusanyika kuwapokea wachezaji hao walioshuka kutoka Brazil leo huku makundi
makubwa ya watu yakieleka mjini kwa mapokezi hayo makubwa.
GERMAN2
german3
german4
german6

german7

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: