July 16, 2014

CHRIS BROWN AINGIA NA STYLE MPYA YA NYWELE DUUUUH CHECK HAPA

Chris Brown hivi sasa ameingia kwenye headline na style yake mpya ya nywele ambayo ilikuwa maarufu sana kwa mastaa wa zamani. thumbnail 1 summary
chris-brown-new-doChris Brown hivi sasa ameingia kwenye headline na style yake mpya ya nywele ambayo ilikuwa maarufu sana kwa mastaa wa zamani.

Chris Briwn hatakuwa tena na nywele za brown lakini utamuona
na nywele zenye wave kichwani na amezichana kwenye mafungu mawili akiacha way upande wa kulia.
Chris Breezy ali post picha yake na kuandika,”Taking it back to the 30s! Lol!,”.
Unadhani amependeza na style hii au bora akiwa na nywere za kawaida au zile za brown. Comment mawazo yako.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: