Life's a beach: New Arsenal signing Alexis Sanchez is enjoying some well-deserved time off in Mexico
Maisha ufukweni: Nyota mpya wa Asernal, Alexis Sanchez anafurahia maisha nchini  Mexico.


Imechapishwa Julai 15, 2014, saa 2:19 usiku

NYOTA mpya wa Arsenal, Alexis Sanchez anaendelea kufurahia mapumziko yake
kabla ya kujiunga na washika bunduki wa London katika maandilizi ya kabla ya msimu.
Arsene Wenger aliamua kutumia paundi milioni 30 kumsajili nyota huyo kutoka klabu ya Barcelona wiki iliyopita zikiwa ni juhudi za kuboresha kikosi chao ili kuingia katika ushindani wa ubingwa msimu ujao.
Inatarajiwa kuwa Sanchez atafunga mabao mengi, lakini kwasasa mshambuliaji huyo anakula bata ufukweni na demu wake Laia Grassi. 
Stunner: Sanchez was joined on the beach in Cancun by girlfriend Laia Grassi this week
Stunner: Sanchez was joined on the beach in Cancun by girlfriend Laia Grassi this week
Wiki hii Sanchez aliungana ufukweni mjini Cancun na Laia Grassi 
Walking on together: Sanchez is set to link up with the Gunners soon ahead of the new season
Wanatembea pamoja: Sanchez anatarajia kujiunga na washika bunduki wa London kujiandaa na msimu mpya 
That's a way to make friends: Grassi posted a picture of herself in an Arsenal shirt last week
 Wiki iliyopita Grassi aliposti picha akiwa amevalia jezi ya Asernal 
Grassi anatarajia kuwa shabiki mkubwa wa Emirates na tayari alishaposti picha akiwa amevalia jezi ya klabu hiyo na kuandika: "Mimi ni shabiki wa Gunner  tangu siku ile Asernal Wenger atoe keshi".
Watching her go: The pair strode off the beach as they took an end of World Cup break
Akimtazama totozi wake: Wapendanao wakiwa pamoja ufukweni wakati huu wa mapumziko.
Sanchez and girlfriend Grassi