March 25, 2016

Video: Jionee Raisi Obama Alivyocheza Densi ya Tango na Mwanamke huko Argentina

Rais Obama alisisimua watu waliohudhuria dhifa ya jioni katika ikulu ya rais mjini Buenos Aires, Argentina baada ya kucheza densi maarufu... thumbnail 1 summary
Rais Obama alisisimua watu waliohudhuria dhifa ya jioni katika ikulu ya rais mjini Buenos Aires, Argentina baada ya kucheza densi maarufu ya tango na mnenguaji wa kike. Mkewe
Michelle naye alicheza na mtumbuizaji wa kiume. Dhifa hiyo iliandaliwa na mwenyeji wake Rais Mauricio Macri Jumatano. Baada ya kumaliza, waliohudhuria waliwashangilia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments