March 25, 2016

Alshabab Kulipua Bomba la Mafuta Iwapo Litapita Kenya......

Wakuu huku mvutano kati ya kenya na Tanzania ukiendelea kushika kasi juu ya wapi bombo la mafuta ghafi kutoka Uganda lijegwe..wanamgambo ... thumbnail 1 summary
Wakuu huku mvutano kati ya kenya na Tanzania ukiendelea kushika kasi juu ya wapi bombo la mafuta ghafi kutoka Uganda lijegwe..wanamgambo magaidi hatari wa somalia
(Alshabab) wamejiapiza kwamba iwapo bomba hilo litapita Kenya kwenda kwenye bandari ya lamu bas halitachukua sekunde kwani lazima walilipue..akiongea kwa umakini

na bila woga msemaji wa kundi hilo amewashauri waganda kwamba wasipoteze pesa zao na nguvu zao bure kwani bomba likipita Kenya lazima watalilipua tu.....
my take.wakenya imalisheni ulinzi was nchi yenu kwanza kabla ya kukalibisha miradi ya nchi za watu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments