May 02, 2015

FREEMASON WAMTEKA LULU...Tazama Picha

Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni thumbnail 1 summary
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja na maana yake.


Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600 wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba miongoni mwao hakuna viongozi wakuu wa serikali.



Huu ndiyo ukumbi wa Freemason uliopo Dar es Salaam, ambao ndio wa kwanza kabisa kutumiwa na Bunge la Tanzania.

Kwa wale wasiojua mahali ukumbi huu ulipo ni Maeneo ya Mjini Posta jijini Dar es Salaam.


Filed Under: udaku Monday, April 20, 2015

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: