January 04, 2015

Wanigeria Bracket wameachia video inayoonyesha behind the scene ya video waliyomshirikisha Diamond.

December 2014 kundi maarufu la muziki kutoka Nigeria,  Bracket  ambao walitamba sana Tanzania na single ya ‘ yori yori ‘ walithibitisha k... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2015-01-04 at 3.37.36 PMDecember 2014 kundi maarufu la muziki kutoka Nigeria, Bracket ambao walitamba sana Tanzania na single ya ‘yori yori‘ walithibitisha kufanya kolabo na
Mtanzania Diamond Platnumz, walimsifia sana kwa ukarimu wake na kutokuwa na maringo na kitendo chake cha kuipokea haraka nafasi ya kushirikishwa na kuifanyia kazi.
Video ya wimbo wenyewe unaweza kuitazama ndio hii hapa chini mtu wangu…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: