January 04, 2015

Fahamu kinachoisibu ndoa ya Kim Kadarshian na Kanye West.

Ndoa ya mastar wawili kwenye anga la Holywood nchini Marekani Kanye West na Kim Kadarshia imeripotiwa kuwa hatarini kutokana na kile ki... thumbnail 1 summary

kanye-west-kim-kardashian-vogue-2

Ndoa ya mastar wawili kwenye anga la Holywood nchini Marekani Kanye West na Kim Kadarshia imeripotiwa kuwa hatarini kutokana na kile kinaotajwa kuwa
hali ya kutotimiza majukumu ya ndoa kwa Kanye West .
Watu wa karibu na familia ya wawili hao wameripoti kuwa Kim Kadarshian siku za hivi karibuni amekuwa hana raha kutokana na Yeezy kupoteza hamu ya kuwa naye karibu kutokana na kuwa ‘busy’ na kazi zake za kimuziki na masuala mengine .
Mbaya zaidi ni kwamba Kanye West amekuwa mgumu kumpa Kim haki yake kama mke katika ndoa haki ya                ‘unyumba’ kitendo ambacho kimekuwa kimchanganya mrembo huyo na kumfanya akose raha katika ndoa yake changa .
Kim Kadarshian amemtaka mumewe kuhudhuria darasa maalum la ushauri nasaha kwa wanandoa ili kuokoa ndano ya changa.
Kim Kadarshian amemtaka mumewe kuhudhuria darasa maalum la ushauri nasaha kwa wanandoa ili kuokoa ndano ya changa.
West amekuwa na tabia ya kutofanya mapenzi ya mkewe kwani mara anaporudi nyumbani hutumia muda mwingi kupumzika kitandani au kucheza na mtoto wao North West badala ya kuwa karibu na Kim Kadarshian .
Kwa mujibu wa mitandao ya habari za udaku ikiwemo TMZ na The National Enquirer , Kim Kadarshian amemtaka mume wake kuhudhuria darasa maalum la ushauri nasaha kwa wanandoa ili kuweza kurudisha uhusiano wao katika mstari kabla hali haijawa mbaya zaidi na kusababisha kuvunjika kwa ndoa yao .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: