July 27, 2014

WAKUU WA NCHI WASHIRIKI FUTARI PAMOJA, RAIS, WAZAIRI MKUU PAMOJA NA MAKAMU WA RAIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa  kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika  futari waliyoandaliwa na Ma... thumbnail 1 summary
b1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa  kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014
b2
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman wakiwasili kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: