July 02, 2014

Mfanyakazi wa benki aliyeiba sahihi za wateja 150 na kuziuza kwa wahalifu.

Afisa wa benki ya NatWest ameshtakiwa kwa kosa la kuuza taarifa za wateja kwa kundi la wahalifu ambapo amehurumiwa kufungwa gerezani kw... thumbnail 1 summary
banker2
Afisa wa benki ya NatWest ameshtakiwa kwa kosa la kuuza taarifa za wateja kwa kundi la wahalifu ambapo amehurumiwa kufungwa gerezani kwasababu ana watoto wadogo wawili.

Lekeshia Henry-Richards, 28, aliiba sahihi za wateja 150
waliokuwa wakitumia huduma binafsi katika jiji la London.
bankerTaarifa hizo zilitumika kuwaibia wateja ambapo wateja kadhaa wameibiwa kupitia kundi hilo la kihalifu kabla ya ishu nzima kugundulika April mwaka huu na mwanamke huyo kufikishwa mahakamani.
Mwanamke huyo kutoka Leytonstone, Mashariki
mwa London alisamehewa kufungwa gerezani kwasababu ana watoto wadogo wawili mmoja mwenye miaka minane na mwingine miezi 18.
Alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani na kuagizwa kufanya kazi kwa saa 90 bila malipo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: