March 14, 2015

BREKING NEWS AJALI MBAYA YATOKEA USIKU HUU MAENEO YA CBE DODOMA

ajali mbaya ambayo imetokea Usiku huu maeneo ya CBE Dodoma..Basi la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,Chanzo cha ... thumbnail 1 summary

ajali mbaya ambayo imetokea Usiku huu maeneo ya CBE Dodoma..Basi la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semitrela lilikuwa limekata trela lake katikati ya bara bara kuu
inayoelekea Dodoma Inn, Na basi hilo inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na trela hilo na katika jitahada za kujaribu kulikwepa liliingia kwenye mtaro na kugonga mti ambao..Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha ila majeuhi ni wengi na wamekimbizwa katika hospitali ya General

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: