February 09, 2015

Lulu Atoboa Siri ya Kufanya Vizuri Chuoni na Kuwazidi Wanafunzi Wengine Kwenye Matokeo

Mwigizaji Lulu Michael Ambae sasa Ameamua kwa moyo mmoja kurudi Shule pale chuo cha Serekali cha Magogoni Amehabarisha na Kutuambia ni kw... thumbnail 1 summary
Mwigizaji Lulu Michael Ambae sasa Ameamua kwa moyo mmoja kurudi Shule pale chuo cha Serekali cha Magogoni Amehabarisha na Kutuambia ni kweli Darasani
anafanya vizuri na kuwapita wenzake kwenye mitihani kama tulivyosikia
na Siri yake moja kubwa ni
kujisomea hasa usiku wakati wengine wamelala , lulu Michael amesema kwa sasa starehe ameweka pembeni kabisa na kawaida analala saa saba usiku ....

Hongera lulu Kazi Buti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: