February 10, 2015

CHIDI BENZI AKWERWA NA JINA ALILOPACHIKWA NA KUITWA CHIDI VITS BAADA YA KUKONDA

Nasisitiza watu msiongee vitu bila kujua ukweli,mnapoteza muda kumuongelea mtu ambae kashaongelewa sana kwa vitu kibao na anavumilia thumbnail 1 summary

Nasisitiza watu msiongee vitu bila kujua ukweli,mnapoteza muda kumuongelea mtu ambae kashaongelewa sana kwa vitu kibao na anavumilia na anajua ya watu wabaya wanamtengenezea ubaya,ila watu wangu wananielewa nilivyo so respect kwao, nikisikia hilo jina tena nitamtoa mtu kamasi jekundu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: