December 09, 2014

WATANZANIA HAWATAKI KUMSIKIA TENA DAVIDO NA HII NDIO KAMPENI RASMI YA KUM UNFOLLOW DAVIDO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII...

watanzania wamechukizwa na kitendo cha msanii davido kupost maneno ya kuwachukiza katika account yake ya twitter .... thumbnail 1 summary




watanzania wamechukizwa na kitendo cha msanii davido kupost maneno ya kuwachukiza katika account yake ya twitter ....

 Hii ndio tweet ya Davido Muda mfupi tu mara baada ya Idris Kutangazwa Mshindi wa BIG BROTHER AFRICA HOTSHOS 2014.




Hii inaonyesha wazi kuwa Davido anawachukia sana watanzania na Tanzania kwa ujumla kutokana na Kugalagazwa na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Tanzania Diamond Platnum katika Tuzo za Muziki za Channel O zilizofanyika huko huko Afrika Kusini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: