December 09, 2014
LULU MICHAEL WA BONGO MOVIE AOMBA NAFASI YA KUOLEWA NA IDRIS MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA
Nibaada ya Idris kujinyakulia zaidi ya mili 450 kutoka katika big brother hotshot
s....msanii wa bongo movie Lulu Michael afunguka kumzimia vibaya sana Idris tangu day one akiwa mjengoni.