April 06, 2014

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa thumbnail 1 summary


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa
la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye

Viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: