''Baby,kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''
Hivi kuwa Diva ndo hupandi Daladala??BAbako mwenyewe anafanya Shirika la Reli anagombania gari za Tandika deile,eti we mwanawe Diva,Diva my beuatiful legs!