WASANII 7 WANAOONGOZA BONGO KWA PAMBA KALI ZAIDI UPANDE WA WANAUME
Hawa ndio Top 7 ya wasanii wa Tanzania wanaopiga Pamba kali zaidi . Jux, PHD Hemedy , Cyril , Bob Junior, Gelly wa Rymes, Izzo ... 11:42Hawa ndio Top 7 ya wasanii wa Tanzania wanaopiga Pamba kali zaidi . Jux, PHD Hemedy , Cyril
, Bob Junior, Gelly wa Rymes, Izzo B na Diamond na hii ni kwa mujibu wa Bongo5 media Group.
1. Jux
2. Hemedy
3. Cyril
4. Bob Junior
5. Gelly wa Rhymes
6. Izzo B
7. Diamond
Kwa upande wako unahisi ni wasanii wapi wana stahili kuwa kwenye top 10 ya 2013 kwa pamba safi wanazovaa?
KAMA UNAHISI KUNA MSANII TUMEMSAHAU TOA MAONI YAKO HAPO CHINI NI NANI....???
No comments
Post a Comment