Vigogo wote wa Ligi Kuu wametenganishwa
katika Raundi hiyo, huku Chelsea ikiwa mwenyeji wa Stoke, wakati mshindi wa mechi ya marudiano kati ya Manchester City na Blackburn atacheza nyumbani na Bristol City au Watford.
Stevenage baada ya kuitoa Doncaster watamenyana na washindi mara tano wa Kombe la FA, Everton. Chanzo: binzubeiry
No comments
Post a Comment