May 17, 2016

Floyd Mayweather Anatumia Milioni 6 za Kibongo Kunyoa. Ipo Hapa

Bondia maarufu duniani Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake. Kinyozi wake ambaye ... thumbnail 1 summary
Bondia maarufu duniani Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake. Kinyozi wake ambaye ni mwanamke anasema analipwa dola $1,000 per cut.”

Mayweather ananyolewa mara tatu kwa wiki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments